Mafunzo ya kuboresha ufanisi – TEVI Foundation

Trumark watoa mafunzo kwa wafanyakazi wa Tevi Foundation ni taasis isiyo ya kiserikali inayosaidia Wanawake wa hali ya chini katika kuwakomboa kiuchumi kwa kuwapatia mikopo.

TEVI Foundation imeweza kuwasaidia  wanawake wapatao 650 kutoka sehemu Mbalimbali ikiwemo Tangi Bovu, Makonde, Kunduchi, Mtongani, Tegeta, Kinzudi, Mwananyamala, Kawe, Mwenge, Bunju, Goba, Mikocheni na Bahari Beach, jijini Dar es salaam.

Mafunzo haya yalihusuisha elimu ya kujitambua, ueledi na huduma kwa wateja.Wanawake wengi wanahuitaji na changamoto mbalimbali hiyo ni vyema kuwapatia huduma bora ili kukidhi mahitaji yao.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *